Tusiendelee kupiga kelele kuhusu Chatto!

Tusiendelee kupiga kelele kuhusu Chatto!

jibu ni YESSSS!..at least angejenga uwanja wa ndege hapo Chato,Hospital akaweka mji mwingine..hii ya kutumia resources ambazo ni jasho la watanzania WOTE (Sio chato peke yake),,,,kuendeleza anapotoka ni big NO!..
Unanyeregezi Wewe
 
Ujamaa umewaharibu watu yaani unaiongelea nchi kama vile mali ya ukoo kwamba watu waoneane huruma. Usichokijua hizo sehemu zilizoendelea kwa kiasi kikubwa ndizo zinazochangia pato la taifa hasa kwenye makadirio ya kodi na huoni kwa mantiki yako ni kama uonevu ???.

Kingine Pesa ya umma inapaswa kuwekezwa pahali ambapo pana uhakika wa marejesho makubwa ambayo yanaweza kutumika kuleta Huduma za kimaendeleo sehemu zisizo na fursa kubwa za kiuchumi. Hiyo ni concept ndogo sana za uchumi na uwekezaji ambayo ni vyema kuijua. sipingani na mtu yoyote kupeleka maendeleo sehemu yoyote ila sio halali yake itokane na mawazo kama yako
Na heshimu mawazo yako
 
mnhh miko ya kanda ya Ziwa ni Chato peke yake? mbona mnajivua nguo kujustfy ujinga,by the way unawainua watu kwa kuwawekea Airport??? angewekeza hata kwenye Elimu, Afya etc..yule mzee kuna nut zimeachia...sio bure..
Sasa kwa akili yako unazan hajawekeza kwenye Elimu na Afya?
Nikupe summary tu kwa sasa Chato kuna ujenzi wa chuo cha ufundi, pia Hospital ya rufaa inajengwa ipo kama km 1 hivi kutoka ilipo hospital ya wilaya.
Endelea kusema sasa kwamba nut sijui zimefanya nini
 
yaani kama amefanya vyote hivyo .miradi mikubwa na midogo yote iwe Chato..then inaonyesha asivyokua na aibu...nuts zimeachia
 
Naheshimu mawazo yako pia lakini ni vyema pia tukajifunza kuwa si kila mara tunakuwa na mitazamo sahihi. Tunatakiwa kujifunza kupitia hata mijadala kama hii. Uwe na usiku mwema mkuu
Shukrani nawe pia uwe na usiku mwema
 
Yaani kwenye hii thread kuna mijitu ni mipumbavu sijapata kuona..
 
Yaani kwenye hii thread kuna mijitu ni mipumbavu sijapata kuona..
Yanii unaweza utamani kulia kwa sauti lakini ndo hivyo hakuna la kufanya
Ilaaa daaah....
 
yaani kama amefanya vyote hivyo .miradi mikubwa na midogo yote iwe Chato..then inaonyesha asivyokua na aibu...nuts zimeachia
Watz wengi ni mapunguhani wa head dada yangu..yaani jitu linasifia hata upumbavu waziwazi..
 
Yanii unaweza utamani kulia kwa sauti lakini ndo hivyo hakuna la kufanya
Ilaaa daaah....
Binafsi mijitu kama hii huwa sitaki hata kuikaribia maana inaweza kukuambukiza ujinga kabisa yaani..
 
Punguza ukali mkuu,inaelekea hilo rebellious ..halileleti ukakasi sana kama hayo mengine..LOL
Voice note plz how to pronounce....maana kila nikijatahidi naishia kwny redbull
 
mnhh miko ya kanda ya Ziwa ni Chato peke yake? mbona mnajivua nguo kujustfy ujinga,by the way unawainua watu kwa kuwawekea Airport??? angewekeza hata kwenye Elimu, Afya etc..yule mzee kuna nut zimeachia...sio bure..
Dada dada, mdomo huo labda km hauishi Tz
 
Binafsi mijitu kama hii huwa sitaki hata kuikaribia maana inaweza kukuambukiza ujinga kabisa yaani..
Zamani nilikua naumiaga sana nikiona haya mambo ikafika mahala nikasema nitakufa bure kwa ugonjwa wa moyo
 
Nakwambia hivi! Sijawahi kuina mtu wa mkoa mwingine analalamika upendeleo wa Magufuli zaidi ya wachaga.

Yani unakuta mchaga msomi kabisa lkn kakomaa anasema Magufuli ni mkabila.
Fanyia utafiti Manung'uniko . Jaribu na ukuu wa mikoa
 
Back
Top Bottom