Tusi jipya......

Tusi jipya......

asee hommie hapo nimejua saizi yake tu.......hivi tunaruhusiwa kuwauliza hapa jamvini kila mmoja aelezee masaburi yake bila kula ban?
Na masaburi yatakayouliziwa hapa si ni ya kina mama? Ukiulizia ya invizibo si unajitafutia ban?

katika kiungo ambacho kila jina linafit ni makalio.....manake wengine wanaita tukunyema,wowowo,ngongingo,inye,mkia,wezere,bomole che,....leo masaburi!!!mmmh!kweli lugha inakua

wengine taarabu, manyanga, tera, usafiri. We acha tu.

Na masaburi yatakayouliziwa hapa si ni ya kina mama? Ukiulizia ya invizibo si unajitafutia ban?

Of course ni ya kina dada/mama......kwa mujibu wa katiba yetu mama, ni marufuku kuulizia masaburi ya mwanaume mwenzio aliye rijali kabisa....sasa hebu nipe mwongozo tuanzishe sredi ya collabo na iwe jukwaa gani?

Kwasababu masaburi ya kinadada ni chachu na mvuto kwa kinababa kimapenzi........... nadhani tukafanyie hii kolabo kwenye jukwaa pendwa....MMU. MJ1, Cheusimangala, Kerren Hapuch, Nyamayao, Preta wameshaamka?........ Ngoja nimwamshe Klorokwini tumshirikishe..... Usimstue Mbu, ataharibu.

Nimekuitika laaziz, vipi kwema huko? I hope someone is not watching manake watu wengine wamebahatika kuwa na wivu lol

Hapa kwema mpenzi,naona unataka kubadili aina ya ukaguzi lol

Hapana... ODM anakagua matiti kama kawaida yake.......Masaburi wanakagua mahomuboi zangu Kaizer, Bigirita, Mentor na Kimey.

hahaha!nimeipenda hii,kwa hivyo wale ambao umeshawakagua waelekee kwa hao watu?

masaburi yako! lol

limekaa kimodern,haliumizi kama mengine, ni rahisi kulitamka mie nimelipenda!,,,,,hata hapa JF nimeona limeanza kutumika bila kula BAN...lol

kama sikosei we ndo utakuwa umemtukania mumeo, siumesema mashine yako imechakaa? So nahisi hata akikunanihi huwa huhisi chochote.

kama sikosei we ndo utakuwa umemtukania mumeo, siumesema mashine yako imechakaa? So nahisi hata akikunanihi huwa huhisi chochote.

nyooo masaburi yako!!!!!,umeiacha mada imepita ili uje unitusi huku?hunipati!

Mkuu! Ukubwa au udogo wa masaburi yake wautakiani? Ha haaa!

mkuu we hujajua kuwa ni nyenzo mojawapo ya itumikayo ktk kufikiri? so if unayo makubwa hope utakuwa unafikiri kikubwa, lol

MTN umenichekesha sana. Kwamba mwenyewe ana masaburi makubwa?... lol.

Kwahiyo wabunge (wa Dar es Salaam) wanafikiri kwa kutumia "masaburi"?

Similar Discussions

Back
Top Bottom