Tusi jipya......

Tusi jipya......

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,716
masaburi yako! lol

limekaa kimodern,haliumizi kama mengine, ni rahisi kulitamka mie nimelipenda!,,,,,hata hapa JF nimeona limeanza kutumika bila kula BAN...lol
 
masaburi yako! lol

limekaa kimodern,haliumizi kama mengine, ni rahisi kulitamka mie nimelipenda!,,,,,hata hapa JF nimeona limeanza kutumika bila kula BAN...lol

No Comment........... Ila Kuna Ukweli Hapo
 
jestina masaburi yako makubwa au ya kihindi?????/lol
 
masaburi yako! lol<br />
<br />
limekaa kimodern,haliumizi kama mengine, ni rahisi kulitamka mie nimelipenda!,,,,,hata hapa JF nimeona limeanza kutumika bila kula BAN...lol
<br />
<br />
kama umelipenda basi we masaburi.mia
 
katika kiungo ambacho kila jina linafit ni makalio.....manake wengine wanaita tukunyema,wowowo,ngongingo,inye,mkia,wezere,bomole che,....leo masaburi!!!mmmh!kweli lugha inakua
 
Ni wale wanaofikiriz kwa kutumia "MASABULI"??..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom