Mkuu si ulipie tu mimi nakumbuka nililipia kama buku tatu hivi hadi sasa natumia. Bila Usumbufu.mwenye poweramp cracked naomba
Kiongozi naona inbox yako umefunga, kama hutojali naomba uni PMHiyo ni developer page nimefungua kweny simu inafunguka. Au ingia play store andika Robert Londo utaziona app zangu zote View attachment 1119786
Elimu yakulipia plizMkuu si ulipie tu mimi nakumbuka nililipia kama buku tatu hivi hadi sasa natumia. Bila Usumbufu.
2: Avast Anti theft
- Download version ya kawaida kwenye playstore. Patch kwa Luckypatcher utapata premium version.
Hii avast ukiiweka huwezi poteza Android yako. Hata ukiibiwa unainaweza kuitrack kwenye website ya avast. Hata kwa SMS kupitia simu y mtu unaweza kuifunga, kuiuliza simu ilipo ikakutumia location via email through Google map.
Mwizi akibadilisha line itakwambia line iliyowekwa na number yake.Just Google it utapata faida zake
Ha haaaaaUnataka Avast Anti Theft ikusaidie siku ile simu yako imeibiwa, wakati we mwenyewe AVAST umeiba kwa ku patchi, sasa siku unayoiihitaji ndio itakapokwambia "please confirm your activation"!
Mkuu ingia playstore, tafuta ile key ya Poweramp gusa pale kwenye ile amount utaona njia za malipo.Elimu yakulipia pliz
_kuna watu bado mko na cimu za aina hii bado!!!_Wakuu msaada kwa anaejua applications nzuri kwa simu za BlackBerry Z 10 na Q 10
Haha!Unataka Avast Anti Theft ikusaidie siku ile simu yako imeibiwa, wakati we mwenyewe AVAST umeiba kwa ku patchi, sasa siku unayoiihitaji ndio itakapokwambia "please confirm your activation"!
APP ZA LAZIMA KUWA NAZO KWA SASA
1- SCREENSHOT GO
2- FLUD
3- DAYWISE
4-SOFASCORE
5-0PERA BROWSER NOT MINI
6-WPS MOD APK
7- TIDAL
8-SPOTIFY
Photo passport makerapp ya kutengeneza passport size iwe soft copy
msaada mwenye link ya Gb Whatsapp last updated
Tafuta mobizenScreen recorder gan ambayo ni nzuri wadau na piah ambayo unaweza ondoa watermark