Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tafadhali jamani naomba msaada wa link ya luck patcher ambayo tayari ni prime au namna ya luichakachua hii isiyo prime
 
Mkuu mbona hii luck patcher yangu haina hii option ya move to sd?.
Halafu pia hii link ulionipa ya luck patcher prime ninaijaribu inakataa na kusema kuwa tayari ime expire.
Hiyo link sio lucky patcher ni ya nova laucher prime kuna mdau aliiomba hapo juu
 
Ad blocker for Android AdClear

Download hii app itakusaidia
Ukishadownload weka on hapo
f8cd677fab0ce8e25974069f9a758852.jpg
kwenye alama nyeupe na juu ya panel ya simu yako itajiweka notification ya kialama cha ufunguo hapo itakua on Enjoy
Asante ndg nimefanikiwa
 
Kuna Application ukiweka kwenye Simu.....Mtu akiwa umbali fulani kama nina Namba yake itaniambia kuwa fulani yupo kilomita 10 toka mimi nilipo ni app gani hiyo?
 
Kuna application inaweza kukwambia insta katika account yako waliotembelea kwa siku ni wangapi walio angalia profile yako ni wangapi ni app gani
 
Inasaidia nn?
Inakujulisha raini mpya ikiwekwa kwenye simu yako kama MTU kakuibia simu akitia raini yake inakujulisha kwa no ya simu uliyo ichagua kuwa simu yako imetiwa rain yenye no xxxxxxxxx hiyo unaweza kumjua aliye chukua simu yako nakama umetia kwa MTU wako wa karibu akibadili raini unajua no mpya anayo tumia
 
Wakuu naomba mnisaidie faida za kuroot simu, na ni apps gani za ziada ntakazo zipata baada ya kuroot na kwenye app gani ya kudwnld
 
Back
Top Bottom