Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nmejarbu kufwata njia zote za kuroot kwa kutumia kingoroot na king root ila sijafanimiwa. Nataka kuroot tecno j8, kuna njia nyngine?
J8 yako ilikuwa inapata OTA yani version update kutoka kwa manufacture?
maanipo zinazo kubali root na zipo ambazo root inakubali lkn kwa mbinde.
 
Mimi kununua mpya ya simu za Android, lakini siwezi kucheza video kupakuliwa kutoka youtube, na baadaye alipata video format ni avi, nilipata makala AVI Android, lakini inaonekana kuwa na programu hii bila simu yangu mfano, hakuna ambao wanaweza kunipatia ushauri:pMshukuru
Mkuu lugha hii umetumia translator ama maana sijakuelewa.
 
Kuna hii app Link2sd ichekini pia ni nzuri sana .
Kama jina linavyojieleza ni link to SD. Hii inamaanishasha uweza iongezea internal phone memory kwa kutumia some of SD card memory.
Kwa mfano kama una memory card ya GB 32.
GB 16 unaweza kuzi link zikatumika kama internal memory na 16 zinazobakia zikatumika kwenye external. Simu inakuwa na kasi ya ajabu ukiwa na internal memory kubwa
Hii unafanya je mkuu?
Hebu tutolee ufafanuzi wa namna ya kufanikisha
 
Anayejua namna ya kustopisha whassapp kwa mda bila ku uninstall. Na bado ukaendelea na mengne kwa internet
 
msaada cm Yangu nzito ktk kutatype then inahelewa kuketa option pind napohama ktk option 1 had nyingne napotype heruf znachekewa kujiandika ama naweza bonyeza k ikaandk herf nyingne tu natumia huawei 360,naomben msaada
Utakuwa umedowload apps nyingi kushinda uwezo was simu jaribu kuondoa baadhi ya apps usizozitumia
 
Anayejua namna ya kustopisha whassapp kwa mda bila ku uninstall. Na bado ukaendelea na mengne kwa internet
hautaki kupata msg wakati umewasha data na unatumia apps nyingine zinazotumia data kama instagram,browser n.k
basi Fanya hivi
Nenda setting kisha fungua apps halaf open hiyo whatsapp then kuna (√) kwenye notification ondoa hiyo √ hapo utakuwa umemaliza utaweza kufungua apps nyingine za internet bila msg za whatsapp kusumbua kama ikigoma tumia njia hii
nenda setting halaf data usage then chagua hiyo app ya whatsapp alaf restrict background data weka on au weka √ hapo utakuwa umemaliza
NB:simu zinatofautiana settings hapo nimekuleza kwa kutumia simu yangu
.
usisaha kuleta feed back hapa ili tuzidi kujifunza
 
call blocker ina rangi flani nyekundu ni hatar chek playstore au kama unatumia tigo piga *35*0000# hapo ukipigiwa hupatikani ila meseji itaingia na weww una weza kuwapigia na kutext data pia kama kawa, kujitoa #35*0000#
aiseee hiyo ya tigo nimejaribu ila haileti notification kabisa
 
Anayejua namna ya kustopisha whassapp kwa mda bila ku uninstall. Na bado ukaendelea na mengne kwa internet
Ingia kwenye 'settings' kwenye simu yako. Kisha, tafuta sehemu yenye orodha ya apps yako na ibonyeze 'whatsapp' na bonyeza tena 'disable'. Ukitaka kutumia tena utafuata mlolongo huo na bonyeza 'enable'.
 
Back
Top Bottom