Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Cc Aaron nakuimba mkuu unitumie link ya kudownload FT15 bila longo longo za kudownload additional file from Playstore.

Pia, naomba njia ya ku-hack coins for non rooted device.

Thanks in advance Mkuu.
 
msaada cm Yangu nzito ktk kutatype then inahelewa kuketa option pind napohama ktk option 1 had nyingne napotype heruf znachekewa kujiandika ama naweza bonyeza k ikaandk herf nyingne tu natumia huawei 360,naomben msaada
 
Mx player, ila itabidi udownload subtitle then u insert wakati una play hyo movie.

VLC inafanya hicho kitu

Screenshot_2017-04-02-15-15-38.png
 
Dah hiyo poweramp nimeingia playstore kumbe inauzwa jamani msaada Sumsang A5 adroid 6
iinstall GetApk(hii hapo play store) kisha nenda kaifungue hiyo application inayouzwa usi-install, shuka kwenye a lama ya kushare application, zitakuja option tofauti so shere kwenye GetApk. itatokea vition za hiyo app chagua iliopo juu zaidi na yenye rangi ya kijani kisha upand wajuu kulia itakuandikia get gusa hapo itaanza kudownload hiyo app then install.

hii si lazima simu iwe rooted. eg mimi sijaroot ila nimeweka poweramp ya kununua.
a4f5dde79297d6034beb653754590fc1.jpg

c3f43c380e9c649ac1cdc18219274999.jpg
 
Haitazingua tena ikifika siku 14?
 
Mkuu nimefata taratibu zote kama ulivoelekeza na nimefika hadi mwisho ....baada ya kumaliza kuinstal trial ndo shida inaanza ukiifungua tu inasema.....NOT LICENCED
Mkuu msaada wako tafadhali
 
Mimi kununua mpya ya simu za Android, lakini siwezi kucheza video kupakuliwa kutoka youtube, na baadaye alipata video format ni avi, nilipata makala AVI Android, lakini inaonekana kuwa na programu hii bila simu yangu mfano, hakuna ambao wanaweza kunipatia ushauri:pMshukuru
 
Nmejarbu kufwata njia zote za kuroot kwa kutumia kingoroot na king root ila sijafanimiwa. Nataka kuroot tecno j8, kuna njia nyngine?
 
Wadau msaada
Tukumbushane namna ya kugawa GB za sd card kutumika kama internal memory ya simu.
 
Hivi app gan nzuri ya kunblock mtu asipge wala kutuma text
call blocker ina rangi flani nyekundu ni hatar chek playstore au kama unatumia tigo piga *35*0000# hapo ukipigiwa hupatikani ila meseji itaingia na weww una weza kuwapigia na kutext data pia kama kawa, kujitoa #35*0000#
 
Back
Top Bottom