Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link

Ukishindwa active link hiyo hapo
Ina CNN
 
Mimi natafuta app inayoweza nkufichua kitu kilichofichwa.
Kwa mfano mtu ka screenshot alafu akaficha baadhi ya maneno.wasa mimi nataka app inayoweza kufichua..
Najua jf hamshindwa
 
Page not found

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifikiri ni kwangu tu!
Unapo tatizika na jambo omba msaada sio kutoa kejeli. Haya pitia hii thread utakuta active link

Ukishindwa active link hiyo hapo

umeitengeneza lini?
mm naomba tufungulie hii iliyowekwa
kila mtu anaweza kuangalia Television kwenye Android app kibao
lkn msituwekee vitu vikatula Mb ndio maana ya udugu wa JF
post: 34503568 said:
*Free IPTV
https://www.mediafire.com/file...usmm7vo4fhd/Free_IPTV.apk/file
hii ipo sawa?? kwa sababu sio mm tu niliyelalamika
post 3,812
 
Msaada jaman sim yangu tec l9 imekuwa km imeflash yn mpya pale kwenye screen kuna neno gestarted ukiifata mble inatoa option ya kuweka email au phone namba lkn aliyekuwa anatumia amesahau,ss ukiingiza mpya google wanagoma na wala hamna opt ya kucreate new amail pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada jaman sim yangu tec l9 imekuwa km imeflash yn mpya pale kwenye screen kuna neno gestarted ukiifata mble inatoa option ya kuweka email au phone namba lkn aliyekuwa anatumia amesahau,ss ukiingiza mpya google wanagoma na wala hamna opt ya kucreate new amail pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda YouTube tafuta how to bypass tecno L9. Tafuta YouTuber mzuri Angalia jinsi inavyokuwa.

NB: KAMA SIMU NI YAKO KWELI.
 
Back
Top Bottom