Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Habari wadau. Katika tembea zangu nimekutana na hii apps ina games za web3. Hii apps nimeona ni nzuri kwangu sababu inalipa mtu kwa survey utazofanya ndani. Ila ndani yake kuna games nyingi sana. Games hizi ni za web3. Ambapo unalipwa kutokana na games kucheza na level unayofikia. Kila level zinakuwa na bei yake. Kama ni mpenzi wa games basi weka hii app.

Ipo Play store au...?
 
Naomba msaada wa store ya kupakua apps za bure.

Maana nataka app ya Office Calculator Pro ya bure

Asanteni nawasilisha.
 
Screenshot_20250616_184806.jpg
 
Habari wakuu?

Hivi nikitaka kujua charger au USB og natakiwa nitumie njia gani au kuna apps?
OG kwa maana ya durability ngumu mpaka uwe na uzoefu sana ama to be safe nunua maduka official ya kampuni husika.

Ila OG kwa maana ya chaja yenye uwezo mkubwa ndio kuna apps na njia za kufahamu.

Kwanza nenda Gsmarena ama website nyengine za kuonesha specification search simu yako angalia simu yako inakubali Watts ngapi na kwa kutumia tech ipi.

Mfano umeona simu yako inakubali Power delivery (PD) kwa 20W then tafuta charger yenye specs hizo.

Wakati unanunua charger unaitest kwa kutumia apps kama Ampere, Accubatery etc hizo zinaonesha ni kiasi gani chaja inaingiza umeme kwenye simu, then hapo utajua kama chaja ni sahihi kwa simu yako.
 
Photography: Adobe Photoshop express (photo editing), sun seeker 🌞, ( kuna moja ya video editors nikikumbuka nita update hapa)
Hizi kwa mafundi: protractor, bubble level meter, compass 🧭
Kwa kusoma: ReadEra
Nb: Usisahau JF app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom