Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ni ya Ontario yule kijana machachari?
Mkuu zile language 12 ulijifunzia wapi?

Self teaching(6 languages hasa hizi za romance ) mkuu ila nyengine nimejifunzia UDOM na bado najifunza kama part ya additional module,na pia ili kujinoa zaidi nina friends wengi wa hizo nchi na huwa napita vyuo kama SAUT (vile wanavyofundisha linguistic na languages kwa ujumla) huko huwa naendelea kujifunza kupitia kuongea,majadiliano na pia midahalo na wanafunzi wa huko .(ukiondoa Esperanto ambayo ni made up language isiyokuwa na official state 😂😂. nilijifunza just for fun, nawashauri wale wanaotaka jifunza spanish waanze na hii lugha kwanza).
Kikubwa nija passion na lugha na huwa najifunza both kuongea na pia historia ya lugha husika .
 
Safi sana.👏👏
 
Guys naweza pata app ambazo inaongeza space kwenye simu???natumia vile visimu vya vodaphone sasa kina 2gb kinajaa haraka kweli na kuna muda hakifanyi kazi kikijaa zaidi memory card inasoma ila haifanyi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada jaman sim yangu tec l9 imekuwa km imeflash yn mpya pale kwenye screen kuna neno gestarted ukiifata mble inatoa option ya kuweka email au phone namba lkn aliyekuwa anatumia amesahau,ss ukiingiza mpya google wanagoma na wala hamna opt ya kucreate new amail pale

Sent using Jamii Forums mobile app

Hadi Tecno unanunua used mkuu!?ikiwa mpya tu majanga sipati picha used

Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom