M12
Member
- Jan 21, 2015
- 63
- 30
Mkuu nimeweza kuwekea background naomba nielekeze jinsi ya kuunganisha picha kwenye hii application tafadhaliSio simple kama unavyo dhani
Inataka muda na ubunifu...
Lkn kwa kifupi utakapo ifungua ukaweka picha yako unayotaka kuibadili background pale kwenye Effect angalia neno overlay kisha S halafu image, hapo sasa chagua background unayotaka kisha ok halafu uwe kama una futa picha hivi sehem usizozitaka.
sasa hapa ubunifu unaotakiwa hiyo
1. Pointer yakufutia kuikuza na kuipunguza
2. Ku blur hiyo pointer endapo unakaribia kwenye mwili wa picha yako
3.Kumbuka ku save kila hatua ili ikitokea emergency usianze tena upya.
4. Tumia zoom kufuta sehem za mikunjo na undo endapo umekosea kufuta.
5. Katika finishing cheza na rangi ili kuweka msawazo wa rangi katika picha yako. Waweza tumia app zingine kama camera360 nk
Ukikwa ni pm hiyo picha yako kwa maelekezo zaidi.