ikhlas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 1,098
- 1,435
Viki tvHapana nataka app ambayo ntapakua series za korea
Viki tvHapana nataka app ambayo ntapakua series za korea
Niadd na mm 0718090892
Naomba mniadd na mimi 0752097770
Hebu acheni kutuvurugia utaratibu bana ni add ni add,add 0674940200
Mkuu ndio hapo mnakose kutuma namba zenu, hapo tayari unajuliakana ni nani maana umeacha nambaNaomba mniadd na mimi 0752097770
Wadau habari za leo? Nashukuru kwa msaada wenu. Naomba apps za kuangalia tv online kama itv
Msaada wa Application ya kublock sms jamani
Mkuu jaribu hiiMsaada wa app ya kubadili document iliyo ktk word kuwa pdf
Kiongozi hebu fafanua labda unaweza pata msaada mimi bado sijakuelewa.Mie nataka ya kubadili maneno yawe mfumo wa picha... nataka niwe natoa morning speech kila siku mfumo wa jpeg(picha ambayo hata kwa bluetooth naituma) cjui viillle... naombeni apps