Tushee maujanja ya gbwhatsapp

Naona ina download ngoja tuone, nisipewe burn tu maana nikikumbuka whats app plus ilichonifanyaga
 
Mi inaniandikia ni update kila nikiingia naweza kufanyaje??maana inaandika kiarabu. Na nktrnslate inaleta mambo ya ajabu
 
niliwahi kuitumia ni nzuri...ila wakati mwingine inastalk yaan sms mfano kweny group watu wanachat ww sms huzioni watu wamechat saa 1 asbuh sms zinakuja kuingia saa 10 jion....hilo tatizo likawa linatokea km kila baada ya sku 2,3....sjui ishu ni cm nnayotumia au ni GBwhatsApp...
 
Update hiyo gb yako..pia usije hide second tick huwa inafanya sms ku delay
 
siku hide 2nd tick...ila ilinikatisha tamaa...sms kudelay ni msalaaa
 
Mi inaniandikia ni update kila nikiingia naweza kufanyaje??maana inaandika kiarabu. Na nktrnslate inaleta mambo ya ajabu
Inatakiwa uapdate, ukiclick update itakudirect kwenye link ya udate
 
Version za saiv hayo matatizo hayapo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…