Tushauriane vifurushi bomba vya internet

Sasa afafanuwe vipi? Wewe hujui satelite?

Tanzania ipo kampuni inaitwa Thuraya wapo Samora avenue opp na JM Mall inatowa huduma ya satelite phone malipo ni kwa dola, popote ulipo unatumia simu na internet hizi hazitumii minara zinatumia satelite.

Watalii wengi wakija kwenda mbugani hakuna mawasiliano wanazitegemea hizi satelite phone hazinaga mambo ya sijui network imejamba sijui signal weak, that is meaning of Satelite.
eti network imejamba 😃😄:D:D nimecheka sana....
 
Mmmh
Screenshot_20200203-134756.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tigo unapata 2GB kwa buku.
Unapata MB 550 na dakika 65 kwa jero
Unapata 1.2GB na dakika 215 wiki nzima kwa buku jero.
Unapata 2.5GB na dakika 268 kwa wiki kwa buku mbili jero
Unapata GB 10 na dakika 1,070 kwa mwezu kwa 10,000 tu


Na ukiwa na 4G spid yake ni ya bombadia.

Nikichogundua kuna watu humu wanatumia line zao za tigo kupikia chai tu hawajui jinsi ya kuunga vifurushi vizuri.
ila inategemeana na maeneo mkuu 10000 wanatoa gb 7 kwa dk 550 mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom