SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,990
- 2,669
Nime download game nyingi ila hii fighting tiger kibok aseeh graphics kali sana, vp huna nyingine kali unayoijua, maana nimejifungia na baridi hii
Tupia na Bangbang...
Nime download game nyingi ila hii fighting tiger kibok aseeh graphics kali sana, vp huna nyingine kali unayoijua, maana nimejifungia na baridi hii
msaada Wa game nzuri za kike kike,aisee nimecheki magemu yenu naona mabunduki bunduki!!okay,mie napendelea game kama zile Sims3 ila kwenye android either siioni au nikiiona basi inauzwa..msaada wakuu
Maxpayne ni bonge ka gemu kwa watoto wa kiumee linachangamsha sana akili
Maxpayne ni bonge ka gemu kwa watoto wa kiumee linachangamsha sana akili
Maxpayne ni bonge ka gemu kwa watoto wa kiumee linachangamsha sana akili
Si la kulipia lile? Ntapata wap bila kununua?
Kuna hii game inaitwa slender man khaa, inatisha balaa, nikichezag naogopa hatar, it gives adrenaline rush
Lina ukubwa gani mkuu,coz me gemu likiwa chini ya mb500 naonaga halikidhi viwangi
Mkuu download program inaitwa APTOIDE apk then ukishadownliad search hiyo maxpayne itakudirect sehemu utapakua buree kabisa ila linahitaji free space kama 1.5gb
Na download kwenye application ya play store au google
Walking dead ina 1gb, marvel contest champions ina mb 400, hyo slender man haifik mb 100 ila kiboko hatar
D day front line commando
Habari wakuu na hitaji jina la action series amboyo tayari Ime ingia sokoni hivi punde