ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Mimi niliuwa simu yangu huawei g610. Yan sasa hivi nikisikia neno ROOT linanipa ukakasi sana.
kwanii unasema hvyo?!
Mimi niliuwa simu yangu huawei g610. Yan sasa hivi nikisikia neno ROOT linanipa ukakasi sana.
Nili root ikawa inazima nakuwa hakuna unachokifanya, kupeleka kwa fundi fundi akaimalizia kabisa. Ipo tu now kama pambo lkn chanzo ni kutaka ku root. So jiandae kwa yote mawili simu kupona au kufa.
Dream Leage ...
napenda hyo game aiseee
mkuu hata mm niliroot alafu kuna ciku nikaformat bwana wee sim inawaka inazima inawaka inazima haina mwisho nimehangaika nayo nikashindwa nikampa mtoto anaiburuza chini
Vipi mkuu kuna kanjia kakudondoa app zinazouzwa kwa bure?NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim Lucky Patcher 5.5.7.apk free download cracked on google play HiAppHere Market
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita road kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapatikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote
enjoy
Vipi mkuu kuna kanjia kakudondoa app zinazouzwa kwa bure?
7)Bangbang
8)wrestling revolution
9)unroll me
10)real track park 3D
11)punch boxing
12)pool billiards
13)Extreme car driving
14)army sniper
15)world of tanks
To be cont...
Nazilizo tajwa na wadau wengine...
*Navy gunshoot
*Sniper traffic hunter
*Morden sniper
*Pool billiard
*Bus simulator 2015
*Zombie World War
Ukiwa na hizo Game, utasahau kabisa Fb, Whatsapp, Insta n.k..... Ila utakumbuka Power Bank n.k
msaada Wa game nzuri za kike kike,aisee nimecheki magemu yenu naona mabunduki bunduki!!okay,mie napendelea game kama zile Sims3 ila kwenye android either siioni au nikiiona basi inauzwa..msaada wakuu