Fifa 16
Modern combat 5
Trucksimulation 16
N.o.v.a 3
Need for speed most wanted
Real racing 3
Asphalt 8 airborne
GTA sanandreas
Mmetaja games nyingi ila game moja na nzuri hamjalitaja.
Tafuta game la Max payne. Ninzur la Action ila linahitaj utulivu kukamilisha mishion zako
Habari wakuu na hitaji jina la action series amboyo tayari Ime ingia sokoni hivi punde
kila aina ya game la android na apps direct link bila matangazo bila non sense yoyote tumia link hii hapa
OceanofAPK - Dive & Get Your Famous APK
Who is the killer? evidence kwa wote zipo... Urefu futi sita ni watatu... And bangage.. Pamoja na jino wote hawana... Hahaha.. Hili game nimelipenda
Mkuu iyo sim city ndo iko vp...design kama nmeipenda flan iv.....Nimepata kalikizo boss nikaamua nikatumie effectively kwenye games na apps nyingine hili ni fifa15hili ni fts15 hili ni sim city hili ndo top eleven hili ni frontline commando hili ndo infinity flight sim
Hiyo unakuwa mayor wa jiji then unalitengeza unaliwekea kila huduma na raia then unakuwa una eneo la viwanda unakuwa unazalisha bidhaa mbalimbl unauza,unatoza kodi piaMkuu iyo sim city ndo iko vp...design kama nmeipenda flan iv.....
Hii game imekuwa complicated aiseee........ #Criminalcase hapa mpaka niandikiwe report na friend or nisubiri for 3 days iwe unlocked... Game zuri sanaaa KAFA.cOm
jiunge na facebook km kuna rafiki mnacheza wote hyo game inakuwa simple sana kwako mm nachexa na npo facebook ukipenda tuwe marafiki tutumiane request
ila best game kwangu ni SUBWAY SURF
Pouwa mkuuu... Naku pm sasa hivi...
Mkuuu upo case ya ngapi now....?pamoja
Mkuuu upo case ya ngapi now....?
1mobile market....Mkuu nahitaji truck simulation 16 ya bila kununua naweza ipata wap???
Unawait mkuu mimi huwa nasubiri.nalipenda hili game coz linanipa muda wa kufanya shughuli nyingine za kawaida.mimi nikiwa nasuburia hizosiku tatu huwa najaza nyota kwenye kesi iliyopita.hizi nyota zitanisaidia kununua 🍔 na 🍊Hii game imekuwa complicated aiseee........ #Criminalcase hapa mpaka niandikiwe report na friend or nisubiri for 3 days iwe unlocked... Game zuri sanaaa KAFA.cOm
Hiyo report unajaza simple ka una partner wengi fb.mm nnao 14 simple kuwapatajiunge na facebook km kuna rafiki mnacheza wote hyo game inakuwa simple sana kwako mm nachexa na npo facebook ukipenda tuwe marafiki tutumiane request
ila best game kwangu ni SUBWAY SURF