technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,846
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.
Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.