Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Pombe ni kinywaji cha kale kbla hata kristo hajazaliwa ,mimi nimezaliwa apa majuzi kwa nini nikupinge mtoa mada.
 
Hata kama wewe ni mkali na una mahasira hasira.

Hii kitu ina raha yake, ukipiga uso unakuwa na furaha moja kwa moja.

Watu wengi tulioko Bar tunafuraha sana kuliko watu walioko maeneo mengine.

Anyway pamoja na kusaga pesa, pombe inaleta furaha. Bila kujali ni muda gani!!

Yes! Drink responsibly.
Bila shaka umelewa ww
 
Back
Top Bottom