masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Mi napenda kuona mtu anakunywa Kwa kuenjoy.[emoji23][emoji23] karibu beibe ulete busara zako hapa
Sio unakunywa ukishalewa unaanza mara kulia,kutukana,kupigana,kujikojolea...
Yaani pombe za hivyo ndo zinafanya wanywaji wengine wajitetee sana...
"Ooh mi nikinywa natulia tu" subiri anywe Sasa vingereza vingiiii