Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Ndio mnavyojidanganya walevi baada ya pombe kukolea kwenye system,ukishalewa hakuna kitu unaeza ambiwa ukaelewa

Uhalisia wenu nyie ni watu wapweke,mliokosa muelekeo wa maisha na mmejawa misifa isiyo ya msingi
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kwahiyo kumbe wanatudanganya hawana furaha!!!
 
Hapa mimi ni Obsever
Nimeuliza wa upendo tu mkuu, mtu akishasema "I have everything but my heart is still void " ujue kuna NJAMBO hapo! Watu wanakunywa sumu sana siku hizi, hatutaki mtu apotee 😁
 
Nimeuliza wa upendo tu mkuu, mtu akishasema "I have everything but my heart is still void " ujue kuna NJAMBO hapo! Watu wanakunywa sumu sana siku hizi, hatutaki mtu apotee [emoji16]
Ndio mambo ya mental health.
Yanatamkwa sana siku hizi
 
Back
Top Bottom