masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Unakunywa kama mwizi wakati pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] gambe uwe huru mwamba
Unakunywa kama mwizi wakati pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] gambe uwe huru mwamba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mimi.Afu huyo jamaa ana tambo balaa.....
Watu walikua wanaomba namna ya kununua mizigo US ...anasema kila mara....tumieni app kama amazon ..."ukienda kichwa kichwa mfumo utakutema utajikuta homeless"
Aliongea Hilo neno 5times or plus
Sio bonge wewe,unapenda miwani nyeus.....vingereza vingi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio mimi.
Hapo sasa ndo good hearted wanaonekana wakorofi bureeNa inaenda kwa hayo mambo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bonge tena?Sio bonge wewe,unapenda miwani nyeus.....vingereza vingi...
Hilo neno la system itakutema Leo ndo mara ya pili nakuona hapa
Sio kwamba ukistua na shot ya vodka na demu akagigida savannah mambo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥Kamua mzee, usinywe pombe inakufanya ucheze chini ya kiwango.
yanakuwa poa in that particular time, since thats your all time job in long run siyo nzuri kwako.Sio kwamba ukistua na shot ya vodka na demu akagigida savannah mambo yanakuwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ni poa, za kupotea?Mambo niaje? [emoji23][emoji23]
I know, I have been there observing evolution from atoto to espy to atotoAtoto ni kongwe kuliko Espy.
Aaah!! Hebu ongea na wifi atumegee kamgao ka DP world basi.Kula pombe dada...😜
Kwanza wifi yako ameonekana leo hapa...🤥
Kuna namna kawine kanafanya kichwa kichangamke sana.Aiseee!!
Ushaanza njaa zako, yaani unataka ubetie bandari kabisa [emoji23][emoji23]Aaah!! Hebu ongea na wifi atumegee kamgao ka DP world basi.