Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Tuseme ukweli, Pombe ni raha sana

Hata kama wewe ni mkali na una mahasira hasira.

Hii kitu ina raha yake, ukipiga uso unakuwa na furaha moja kwa moja.

Watu wengi tulioko Bar tunafuraha sana kuliko watu walioko maeneo mengine.

Anyway pamoja na kusaga pesa, pombe inaleta furaha. Bila kujali ni muda gani!!

Yes! Drink responsibly.
Mkuu long time sana !
Naungana na wewe Aisee, mwenyewe hapa mambo yamegongana nimeshindwa kulala nimeona nipate moja hapa kwanza
 
Uko sahihi kabisa,mie nimeacha gambe sikuhizi,nimepoteza lile vibe kabisa,sina raha,hata nikienda sehemu za kujichanganya siinjoi[emoji848]nina kazi nzuri,wanangu wanasoma vizuri,visent vya akiba viko benk,but am not happy at all[emoji120]
Nimezungumza ukweli.
 
Na asilimia nyingi ya walevi unywaji wao ni wa kupotezea hali/jambo fulani

Asilimia chache sana ni za wanywaji wa starehe...ambao nao pia wakishalewa wanaangukia lile kundi la misifa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huku kuna raha zaidi.
Huwezi ona hadi uingie walau kidogo.
Ujione ulivyochelewa kuvibika...
 
Back
Top Bottom