Napata shida kuwasikiliza viongozi fulani ndani ya chama fulani wanalilia Zanzibar kuwa kivyake na wengine wanalilia Tanganjika ila mimi nataka tuseme ukweli Zanzibar wakisha jitenga nini kitatokea?
Na kwanini hatuthubutu kusema ukweli kama Nyerere na Pinda?
Ukimuona mtoto anachezea bomu mwambie lisije mlipukia.
Na kwanini hatuthubutu kusema ukweli kama Nyerere na Pinda?
Ukimuona mtoto anachezea bomu mwambie lisije mlipukia.