sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
nop sijampa hongera nimedhihaki kimafumbo mkuu.
Technolojia mkuu haipatikani kwa kulala then kuamka unagundua kitu bali ni research za miaka na miaka.
Then kibaya zaidi ni kitu kama hicho kimetengenezwa then yeye afanye modification kiwe unlimited.
Yani hapo kawatukana wote kina sandisk, kingston, sjui transend, watengeneza hdd wote dunian
I have developed a strange program code that you can run in your pc an transform your lets say 120 gb hdd into unlimited storage megadrive where you can store hundreds of thousands of terrabytes data without worrying about harddisk capacity. If you are interested pm me ican give you the code's .exe cmd. Im hoping to obtain a patent for this so dont double cross me since this might be a big milestone in pc history, i might actually become very rich on this dicovery.
Swali la msingi;youtube ina uwezo wa kuhifadhiwa mafile ya video mpk size ngapi?
Nahs watakuwa wanatumia automatic expansion volume smthng which can be done also in hdd
Mh..!!! sidhani kama yawezekana maana kuna watu walikuja na software ya kubadili any volume ya memory card/usb flash but mwisho wa siku ikabainika ni changa la macho!!!
Kama vp mwaga hapo hayo maujuzi coz kuteta chemba (PM) ni utapeli
I think hii ni technobongo...!!!!!
Jihadharini, hiyo ni virus most probably. Ukijua function ya HD utajua kuwa hili haliwezekani, ni kinyume na sheria za physics, kama ndoo ya lita 30 ujaze bahari nzima.
Notifeki, mimi natafuta mtu ninayeweza kushirikiana nae kutengeneza application inayoweza kubadili noti feki kuwa halisi. if you're interested join me and start change the world
Hiyo program kaitoa Nigeria
wewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,Sawa subirini mzungu awaletee hiyo program. Mimi ni programmer tangu 2000. Nimesha develop info systems nyingi corporations nyingi hapa bongo na nairobi. Kweli watanzania wengi vichwa tope. sasa IT mnajifunza nini?
Sawa subirini mzungu awaletee hiyo program. Mimi ni programmer tangu 2000. Nimesha develop info systems nyingi corporations nyingi hapa bongo na nairobi. Kweli watanzania wengi vichwa tope. sasa IT mnajifunza nini?
wewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,
nop sijampa hongera nimedhihaki kimafumbo mkuu.
Technolojia mkuu haipatikani kwa kulala then kuamka unagundua kitu bali ni research za miaka na miaka.
Then kibaya zaidi ni kitu kama hicho kimetengenezwa then yeye afanye modification kiwe unlimited.
Yani hapo kawatukana wote kina sandisk, kingston, sjui transend, watengeneza hdd wote dunian
usifute, hii ni ya kupeleka jokes corner ndio itakuwa mahali sahihiwewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,