Tupunguze Siri Wakuu


Hizi siri ndizo zinazosababisha, hata muafrika awe na mali vp, akifa na biashara/mali zake zinamfuata. Kwa sababu mali nazo hazipendi kujulikana kama mwenyewe alivyotaka iwe, hivyo zinaamua kumfuata kule kuzimu alikoenda. Uamuzi ni wetu, tuendelee kuweka haya maisha siri, au tuwashirikishe wengine? Kila mtu awe huru kujiamulia
 
Hakika.
 
Hata mimi mkuu, yaani kuliko kuamini kiumbe kiitwacho mwanamke ambaye ukifa anaenda kuolewa na mtu mwingine na ku spend pesa zako ulizomwachia na bwana mpya bora hele iliwe na benki.

Nikiwa na mtoto mkubwa nitampa Siri juu ya pesa zangu kwa kiasi kidogo.
 
Sure.
 
Kama ukishidwa Kwa mke mwambie mama mzazi.
 
Ukishidwa mke mwambie hata Mama mzazi Siri zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…