Tupunguze Siri Wakuu

Kawaambie familia yake.Hata hivyo unaweza omba kibali Cha Mahakama kufuatilia accounts zote za marehemu.

Vitu ambavyo ni rahisi kupotea ni Mali zisizohamishika kama Hazina Majina yake.
 
Yuko sahihi 100%
Kwa sababu

Katika uendeshaji wa fedha +Familia ni jambo gumu sana hasa katika zama hizi za watu wasio na utu.
Anaweza kuwa mtoto ama Mke wako pesa ikawa na Thamani kwake kuliko wewe mwenye pesa.

Katika mazingira kama hayo unapaswa kutumia akili kuendesha familia ya dizaini hiyo.

Tunakuwa na marafiki na Ndugu Pia,Katika has kuna watu mtu anakuwa anamuamini ambaye Anakuwa anajua siri zake ambazo hata familia Haijui. Inapotokea shida kama hiyo watasaidia walio baki.

Kuwa msiri kuna muda inatusaidia Sana.
Walio wasiri wengi wamefanikiwa.
 
Kuna thread jamaa mmoja alileta, alilalamika hela yake haitoshi matumizi.

Wanaume wengi wakamshauri amfiche mweke mshahara wake, ili asiwe na mategemeo makubwa.

Watu wengi walionekana kukubaliana na hilo, sasa kipi ni kipi?
 
Hakika Sir.
 
Hata mimi kwenye mambo ya pesa hua siwaamini hawa viumbe mimi wife mda wote namlilia njaa kila mda nalalamika sina hela😀😀 ila akiomba kitu nampa ila always story ni sina hela. Shida ya hawa viumbe akijua una hela anaanza kukupigia hesabu hela zako akuwekee demand zake ambazo hata yeye ameshindwa kutimiza kwa hela yakr wewe ndio umtimizie😹😹
 
Ficha hela mzee hela yako ni yako😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…