mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,791
Kuna starehe nzuri kushinda hyo?
Ile miti yenye tajiriba ya ule mti wa kati bustanini edén, ambao Adam na Eva walizuiwa wasile matunda yake lakini hawakutii!!miarobaini..mipapai...miembe au?

pole popoma..jizuieNaongea ukweli mimi hiyo kwangu ni ngumu sana bila kuwaza ngono
mu apple kumbeIle miti yenye tajiriba ya ule mti wa kati bustanini edén, ambao Adam na Eva walizuiwa wasile matunda yake lakini hawakutii!!![]()
unajua mewnyewe shughuli zako za kimaisha.. kijanii..For example?
Kama hujakosea ni huo!!mu apple kumbe
Kama hujakosea ni huo!!
Kila mtu anajua jinsi ya kuelezea ladha ya ule mti, wewe aggyjay waweza hisi ni mu apple, wengine mfenesi, mhogo, mtango, mpapai, hata wanaohisi kibamia wapo pia

Nakubaliana na wewe kuwa kuwaza ngono kila wakati siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni dhambi, tena ni makosa makubwa sana.Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?
Umejiwakilisha vizuri jinsi ulivyo na unayoyafanyaHii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!
Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.
Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.
Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?
Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.
Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.
Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.
Aggy![]()
We kweli huwajui wazungu, ule ni ustaarabu wao, na ndio utamaduni wao umeruhusu, pia wako free mtu muda wowote anaweza kumuomba dem shoo na asinyimwe, wanaweza kudendeka hadharani, mavazi ya beach ni utamaduni wao, hivyo mwanaume kuona mapaja au maeneo nyeti ya mwanamke anaona ni kawaida tu, then wao hata ukimkuta binti hapendi hela kama huku kwetu.Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto
Aggy![]()
, akipita dem mswambwanda wote kauachia unacheza

umemaliza yote ali...uwiiiWe kweli huwajui wazungu, ule ni ustaarabu wao, na ndio utamaduni wao umeruhusu, pia wako free mtu muda wowote anaweza kumuomba dem shoo na asinyimwe, wanaweza kudendeka hadharani, mavazi ya beach ni utamaduni wao, hivyo mwanaume kuona mapaja au maeneo nyeti ya mwanamke anaona ni kawaida tu, then wao hata ukimkuta binti hapendi hela kama huku kwetu.
Sasa sisi mtu kuona paja tu mpaka mjifungie gheto au gesti, mkidendeka hadharani mara paap mna kesi ya kujibu, akipita dem mswambwanda wote kauachia unacheza
![]()
![]()
Wengine mpaka wanajibenua waonekane wamefungasha {full secretarial sekela course}![]()
![]()
![]()
![]()
Dem ukitaka hata kudendeka nae anakutangazia shida![]()
![]()
Mnasababisha tusio na hizo hela tunabaki na UGUMU thus Y tunabaki kutumbulia macho na kumeza mate na ndio maana hata tukiona kwa macho tu 4G inasoma na kwa vile hatuna uwezo wa kuvipata, ndio maana tunabaki kuangalia porn na kushushia kwa punyeto.
Tuoneeni huruma![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
You sound so wise..! Am I correct??Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!