Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Porn inayoshushwa marekani na Canada kwa siku ni zaidi ya Africa nzima kwa mwezi ....wazungu ndio wenyewe kwenye kuangalia labda utusingizie mengine
 
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!

Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.

Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.

Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?

Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.

Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.

Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.




Aggy
.
Kiasi ndio kila kitu.
Maana ngono kwa mtu mzima ni kama hali isiyo na hiari kwa mhusika. Huota kama vile kucha ama nywele ziotavyo. Huwezi kuziamuru kucha au nywele zako zisiote. Cha msingi ni kuzikata na kuzifanyia usafi katika njia sahihi.
 
Hata kwenye majukwaa ya uchumi, biashara, huwezi kuona influx ya watu. Tupo zaidi kwenye mahusiano/ngono, udaku na majungu.
 
.
Kiasi ndio kila kitu.
Maana ngono kwa mtu mzima ni kama hali isiyo na hiari kwa mhusika. Huota kama vile kucha ama nywele ziotavyo. Huwezi kuziamuru kucha au nywele zako zisiote. Cha msingi ni kuzikata na kuzifanyia usafi katika njia sahihi.
well said
 
Hata kwenye majukwaa ya uchumi, biashara, huwezi kuona influx ya watu. Tupo zaidi kwenye mahusiano/ngono, udaku na majungu.
ni kweli..ona watu wanavyojazana mmu na mada zao..ni tofauti na kwingine
 
Back
Top Bottom