Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Da aggy mm nimekupenda sana hasa ulivyo na mtazamo chanya tunaweza kuunganisha mbongo zetu naona unaweza kuwa mke bora kwangu
 
Kwakweli,,,kibongobongo ukiwa ujishughulishi na mahusiano utaambiwa una jini mahaba,,,ASA mi Niko zangu na mambo kibao niwaze kuparamiana kila saa mmmh hapana kwakweli na kama ndo jini mahaba aje tu hata na baba ake mzazi walete posa,
 
ila wanasema ni kweli ..ukiwa alone mda mrefu unapatwa jini mahaba..mweh
 
Wewe mwenyewe unawaza ngono sana ndo maana umeandika haya.Hapakuwa na mengine yenye kusaidia jamii zaidi ya hili?
 
Back
Top Bottom