Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

na kuungama hatari,sijui mara ya mwisho nimeungama lini kwa kweli

Zile mambo ni imani tu kwa kweli, maana unakuta padri mwenyewe mishe zake unazielewa, unajikuta hata huko kuungama unaona ni famba.

Mi nakumbuka nilishawahi kujua padri anatoka na mtu niliyekuwa nampenda dah, ilinishushia imani yangu sana...
 
Kuulinganisha mwili Wa mwafrika na Wa mzungu Kwa kuvutia ni kutukosea adabu sisi wabantu!
 
Zile mambo ni imani tu kwa kweli, maana unakuta padri mwenyewe mishe zake unazielewa, unajikuta hata huko kuungama unaona ni famba.

Mi nakumbuka nilishawahi kujua padri anatoka na mtu niliyekuwa nampenda dah, ilinishushia imani yangu sana...
Maskini poleeee. Ila hawa viongozi sijui wamekengeuka now days au ni udhaifu wa kibinaadamu tu.
 
hii hsiwezi kuwa sababu..
chukua hata vitabu jisomee..magazeti..socialize.nenda kwenye mikusanyiko na nyumba za ibada.
ukipiga story na mtu onhra vitu vya kujenga au vingine..

huwez endeshwa na mawazo ya ngono hapo..labda uamue mwenyewe
nakwambia kwa jina la Mungu kama utajitia mgumu hivyo, ukitoka hapo utawaza ngono sio chini ya masaa kadhaa au siku kadhaa
 
HEEE! sasa je ,alafu ingekua tukiwaza ngono mambo mengine yanasimama apo sawa tungepeana somo ,lakini kama ni hivi hivi nawaza papuche na mambo yanaenda aaah basi haina budi kuwashauri mods kufuta uzi wako
lione
 
Maskini poleeee. Ila hawa viongozi sijui wamekengeuka now days au ni udhaifu wa kibinaadamu tu.

Asante, kawaida. Ni muda kidogo, tulikuwa chuo kipindi hicho.

Halafu inaonekana nilichelewa kujua maana kumbe jamaa kibao walikuwa wanajua mchongo wananichora navyoshika pembe.
 
Back
Top Bottom