Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Jambo hili ni gumu sana,maana hata huyo asiyeiwaza
tunaweza kumsifia wakati kumbe hata akiiwaza
hana na hajui la kufanya ili kuipata na hivyo huishia kutowaza
na kuwalaumu wanaoiwaza,

Binafsi naona kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa kiasi.
hata wale wanaosema hapa ni kazi tu wameishagundua
nini tangu waanze kukesha kwa kufanya kazi mbali na
kuishia kupata stress?

Muda wa kuwaza na kufanya kazi,fanya kwa bidii,
na muda wa kujiliwaza na kuwaza maisha mengine fanya hivyo
kwa uhuru,ilimradi kisiwepo cha kupora muda wa mwenziwe.
 
48d1f374a306e0a5bcdfbc502cd52af6.jpg
Si unamuona huyu,anafanya yote mawili kwa wakati,
mmoja,anamfukuza mugabe,lakini anawaza atakavyorudi
nyumbani baada ya mugabe kuondoka.
 
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!

Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.

Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.

Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?

Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.

Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.

Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.

Aggy
We mwenyewe umewaza ngono ndio mana ukapost uzi kuhusu ngono, inawezekana unajaribu kuepuka kuiwaza lkn ngono haiepukiki mkuu mana ndo stareh tamu kuliko zote duniani
 
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!

Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.

Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.

Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?

Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.

Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.

Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.

Aggy
sasa hizo pesa zita patikana vipi au jitiada .
vyuma vikaze
na ngono nayo ikaze
tanzania itakosa viwanda hapo 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Mtoa mada ni mtu wa kupuuzwa kwa sababu alichokiongea ni uchochezi mtupu, nashauri akapimwe mkojo. Utafiti unaonesha hakuna fikra tamu kama pale unapowaza kugegedana, nawasilisha.
 
Back
Top Bottom