Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Mtoa mada ni mtu wa kupuuzwa kwa sababu alichokiongea ni uchochezi mtupu, nashauri akapimwe mkojo. Utafiti unaonesha hakuna fikra tamu kama pale unapowaza kugegedana, nawasilisha.
hahahahahah amegusa sehemu nyeti eeeeh
 
Nakupenda tu looh
I like unavyofurahi kwa avanter yako naamini ndivyo ulivyo
kuna moments nyingi katika maisha..za huzuni..za furaha.
najitahidi kuwa happy hata kama napitia jambo la aina gani..lenye uzito gani!
hata maandiko yanatutaka tufurahi katika majaribu pia.
 
kweli dear, you opted same as me
i have said to my life, no matter what the situation I go through, God has a plan for it
I should always be happy and positive

bravo to you
 
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!

Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.

Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.

Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?

Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.

Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.

Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.

Aggy
Mademu wa kizungu hawana mvuto kimapenzi kwakweli hata wakae uchi,badilisha mfano!
 
East, West , South to North ya hii dunia ngono ina run dunia so relax and go with the flow............
 
nimesoma naona umelaumu zaidi kuliko kutoa suluhisho
 
Back
Top Bottom