Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Bila hiyo Ngono unayoichukia leo Wewe ungekuwa hai hivi hadi unaweza hata kutiririka na kuserereka humu JF? Unadhani waliokuzaa wasingewaza ngono na Wao kuamua kwa moyo mmoja Kungonoka leo Wewe ungekuja kuungana nasi hapa duniani?
Nadhani kuna tofauti kati ya tèndo la ndoa na ngono. Anaichukia ngono na si tendo la ndoa!
 
Wako zaidi ya sisi, ukikaa huko waliko ndio utawajuwa vizuri, waulize walioko huko watakwambia, hawa wanaokuja huku kama watalii ni wasomi, u ma Expats, ni waliopanuka kimawazo, ukienda kule kuna wale wasiokuwa hata na passport, hawajawahi safiri hata mikoani mwao! Hao ndio shughuli, hata micharuko na vinega kwa Mtogole hawaoni ndani!
Mkuu Wazungu ndiyo wanaongoza kwa kutazama mapicha ya X,sisi huku tunaiga tu.
 
sina baba..vipi hukuona ppint yoyote ya kuchomekea hapa zaid ya wazaz?
..ujue hata hao watu wazima unao wasemea ni wazazi kama sio wa rafiki yako basi pengine DANGA lako..Sasa huwa tunajisahau ya kwamba, 'Charity begins at home'..Me nimekubaliana na ww 100% kwa ushauri wako na ndio maana nikakuulizia kama vp,'HIYO BORITI ILIYO JICHONI MWAKO UMESHAITOA?'
 
Ndo raha iliyobakia kwa sasa hapa Tanzania. Maana vijana vyuma vimekaza hakuna hata senti ya kujirusha viwanja au kunywa kidogo kupoteza mawazo
 
nawe umo...
Yaani kila nikipita barabarani nikimuangalia mtu nawaza ni matokeo ya lile tendo
Kila kichwa cha mtu ni kichwa cha sperm


Hahaaaa huwa naangalia sura ya mtu nawaza kapatikana kwa style ipi...
Kibakubaku,
Mbuzi kagoma
Popo kanyea mbingu au ......
 
Yaani kila nikipita barabarani nikimuangalia mtu nawaza ni matokeo ya lile tendo
Kila kichwa cha mtu ni kichwa cha sperm


Hahaaaa huwa naangalia sura ya mtu nawaza kapatikana kwa style ipi...
Kibakubaku,
Mbuzi kagoma
Popo kanyea mbingu au ......
 
Back
Top Bottom