Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Mbona unalalamika juu ya wanaume tu je wanayofanya wanawake haujayaona hebu hemu gusa na yao maana hakuna aliebora unakuta mwanamke /binti ana mikono na miguu hana kilema chochotevna ana nguvu za kufanya kazi kwa nn akajiuze huo nao ni utumwa wa ngono
 
Aggyjay ,, Uzi wako kwangu ndo Uzi wasiku mama .

Umeongea jambo lamsingi sanaaaa......I never know km you are good talkative namna hiiiii...kumbe uliiiiii

Smart 99 huwa anasema * tatizo watu niwabishi sanaa*
 
ni kweli?
HEEE! sasa je ,alafu ingekua tukiwaza ngono mambo mengine yanasimama apo sawa tungepeana somo ,lakini kama ni hivi hivi nawaza papuche na mambo yanaenda aaah basi haina budi kuwashauri mods kufuta uzi wako
 
Fursa hakuna na ajira hakuna!unategemea kizaz gan apo?
hii hsiwezi kuwa sababu..
chukua hata vitabu jisomee..magazeti..socialize.nenda kwenye mikusanyiko na nyumba za ibada.
ukipiga story na mtu onhra vitu vya kujenga au vingine..

huwez endeshwa na mawazo ya ngono hapo..labda uamue mwenyewe
 
Mbona unalalamika juu ya wanaume tu je wanayofanya wanawake haujayaona hebu hemu gusa na yao maana hakuna aliebora unakuta mwanamke /binti ana mikono na miguu hana kilema chochotevna ana nguvu za kufanya kazi kwa nn akajiuze huo nao ni utumwa wa ngono
nimetaja jinsia zote pale..

ntaliongelea hilo
 
Back
Top Bottom