Tupunguze kuwaza ngono

Tupunguze kuwaza ngono

Sisi Waafrika tuna afadhali, Mzungu namba nyingine kwenye hili, fuatilia utakubali tu, kaweka ngono kila sehemu, magazeti, mtandaoni, flyers, kila sehemu..
kweli aisee..haaa

lakini mbona wao wako calm..hawapelekeshwi na mihemuko
 
48d1f374a306e0a5bcdfbc502cd52af6.jpg
 
Aaaah pambana na Hali yako buana. Maisha yenyewe mafupi haya.wacha nijilie maisha.
 
kweli aisee..haaa lakini mbona wao wako calm..hawapelekeshwi na mihemuko
Wako zaidi ya sisi, ukikaa huko waliko ndio utawajuwa vizuri, waulize walioko huko watakwambia, hawa wanaokuja huku kama watalii ni wasomi, u ma Expats, ni waliopanuka kimawazo, ukienda kule kuna wale wasiokuwa hata na passport, hawajawahi safiri hata mikoani mwao! Hao ndio shughuli, hata micharuko na vinega kwa Mtogole hawaoni ndani!
 
waza vitu vingine...vipe kipaumbele
ukifika mda wa kupeana na mkeo ndo uanze kuwaza hayo eneo la tukio ili akili yako iwepo pale na pia uconcetrate vizuri
asa ww unaambiwa kisayansi after every X secs mtu anawaza ngono alafu ww unaanza kututaka tuende agaist nature
THAT'S NOT POSSIBLE EVEN AT ONCE
lamda uwe mgojwa
 
aisee..hao mlikua siwajui mimi
 
Hii hali imeshamiri sana si kwa vijana bali hata wazee mda wote bongo zetu zinatawaliwa na mawazo ya ngono tu ni ngono tu yani mtu akiamka ni hata awaze idea mpya ikamjia kichwani wala!

Ingia kwenye simu mpaka wazee wamejaza video za porn hali hii inapelekea kufanya yasiyotarajiwa baba mtu mzima na familia yako unakiingilia kwa nguvu kihausigeli cha miaka 13 imagine aibu yake utayopata.

Mwanaume ukimpita na khanga moja tu hali inabadilika mwenzi wako kasafiri siku tatu tu unadai huwezi kujizuia unaparamia ndugu yake au mshkaji wake.

Vijana wamekuwa watumwa wa punyeto yote sababu ya kuendekeza ngono kichwani kwa asilimia kubwa mbona kwa wenzetu wazungu unakuta ndani ya family mabinti wamevaa vipensi au vigauni vifupi sababu ya joto ingekuwa watanzania tunavaa hivo ingekuwaje?

Ingekuwa ukienda coco beach kila binti wa kitz katupia bikini na bra tupu ingekuwaje? Yani wanaume wangepata tabu sana wakienda beach minara yao inasimama kitu full network 4G.

Hali hii imepelekea pia baadhi ya watu kutoelewa nini maana ya mapenzi mapenzi ni zaidi ya ngono ni urafiki, support and being there for each other katika shida upo na mwenzi bega kwa bega katika furaha pia.

Above all mnakuwa kampani kwa kila mmoja lakini wengine wanawaza ngono tu sawa sio vibaya lakini uwe na kiasi katika kila jambo ina madhara ikiwa utaruhusu fikra zako kwa asilimia kubwa kutawaliwa na mawazo ya ngono.

Aggy
At first place I'd thought you could be a psychological expertise but as I continued reading your article I lost all your competence in the thread. Unasahau kwamba mazingira yakuzungukayo ndiyo brain yako inafanya kazi kutatua changamoto unazokutana na hayo mazingira. Hivi unadhani injinia ambaye anawaza amalize vipi mradi wake kwa muda mdogo uliobaki atawaza hiko ulichokisema.? Mwanafunzi ambaye anakabiliwa na mitihani itakayompitisha kwenda level nyingine academically atawaza hiko unachokisema.?
Mazingira yanaplay part kubwa sana katika kufanya maamuzi.
Wewe unawaongelea watu ambao wako Idled, dependants and small minded people. Your thread can't touch wide minded people.. Watu wenye majukumu ambayo if they once mess with them up, they will be facing a big cost to recover up.
 
hivi siku nzima unaweza kushinda unawaza kazi,kuinvest na biashara?....wabongo bhana
hujaelewa..
nimeshauri most of ur time..ufikirie vitu vingine..thn utafika mda utaanza kufikiria kufanyana.
lakin mawazo ya kufanyana yasitawale sehemu kubwa ya fikra zako na mda wako..

kuna watu wanawaza ngono asubuh mpaka usiku..is thus right?
 
nimekuelewa mkuu....tatizo kubwa ni kuwa ido
 
Back
Top Bottom