Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Bora kuwaza ngono kuliko siasa uchwara
okay..nilisahau kuhuau mzingira yanayonxunguka mtu na uhusiano wa hiu hali..ni kweli uliyoongea.At first place I'd thought you could be a psychological expertise but as I continued reading your article I lost all your competence in the thread. Unasahau kwamba mazingira yakuzungukayo ndiyo brain yako inafanya kazi kutatua changamoto unazokutana na hayo mazingira. Hivi unadhani injinia ambaye anawaza amalize vipi mradi wake kwa muda mdogo uliobaki atawaza hiko ulichokisema.? Mwanafunzi ambaye anakabiliwa na mitihani itakayompitisha kwenda level nyingine academically atawaza hiko unachokisema.?
Mazingira yanaplay part kubwa sana katika kufanya maamuzi.
Wewe unawaongelea watu ambao wako Idled, dependants and small minded people. Your thread can't touch wide minded people.. Watu wenye majukumu ambayo if they once mess with them up, they will be facing a big cost to recover up.
haswaaa umenena mkuuMuache kutuvalia vimini vinatuchanganya jamani
Kwa Mwafrika hiyo ni ngumu kwani Kichwa cha Mwafrika kimegawanyika sehemu Kuu nne na zenye asilimia zake kama ifuatavyo:
- Kuwaza Maendeleo 5%
- Kuwaza Majungu 10%
- Kuwaza Kumroga mwenzake 15%
- Kuwaza Ngono 24/7 70%
Kwahiyo tuwe tunawaza njni sasa? VIWANDA??
ni kweli?asa ww unaambiwa kisayansi after every X secs mtu anawaza ngono alafu ww unaanza kututaka tuende agaist nature
THAT'S NOT POSSIBLE EVEN AT ONCE
lamda uwe mgojwa


.Angalia usijempigia dadaakoHii thread yenyewe ishanifanya nimedindisha
Ngoja nipekue pekue my contacts nitafute goma nisuuze rungu jioni hii baada ya kufokewa na kutukanwa a muhindi
is this the power of papuchi or jujuHivi ni mapenzi kiasi gani alikua nayo Mugabe kwa mkewe mpaka akataka kumhonga nchi?
Najua wanaume tunahonga ila sio kwa level ya Mugabe, Mugabe is beyond standards.
Vitu vya kuhonga viko kibao, Magari, Majumba, ndege, meli na matakataka kibao lakini mwenzetu akaona akihonga nchi ndio itapendeza.
Naagiza Mugabe aandikwe kua mwanaume aliyevuka rekodi ya kuhonga duniani.
Angalia usijempigia dadaako

Nashukuru kwa kukubaliana na hilo. Unachosema ni sawa kwasababu vijana wa kitanzania hawajaandaliwa kiakili kukabiliana na mazingira yawazungukayo, kuiga ni kwingi sana kwasababu na teknolojia ambayo tumetupiwa kwa wakati ambao sisi hatukuwa tayari kukabiliana nayo advantegically.. Wazee nao pia wamejisahau baada ya kuona walishapata yale wanayozani ni muhimu maishani mwao, ndiomaana wanawaza na kutekwa na yanayoendelea mitandaoni...wengine elimu zao wamezieka pembeni, wale ambao nao hawakupata nafasi za kutanua bongo zao wanadhani maisha ni rahisi kwasababbu ya teknolojia na wanachomiliki sasa kumbe sivyo...okay..nilisahau kuhuau mzingira yanayonxunguka mtu na uhusiano wa hiu hali..ni kweli uliyoongea.
watu tegemezi..wasio na lolote na idle minded ndo wahanga wakubwa.ni kweli pia.
Hii ni kweli tupu na imesababisha downfall yake!!Hivi ni mapenzi kiasi gani alikua nayo Mugabe kwa mkewe mpaka akataka kumhonga nchi?
Najua wanaume tunahonga ila sio kwa level ya Mugabe, Mugabe is beyond standards.
Vitu vya kuhonga viko kibao, Magari, Majumba, ndege, meli na matakataka kibao lakini mwenzetu akaona akihonga nchi ndio itapendeza.
Naagiza Mugabe aandikwe kua mwanaume aliyevuka rekodi ya kuhonga duniani.
