hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.