Tupunguze idadi ya vyuo ajira hakuna wasomi wanazidi kurundikana mtaani

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.
 
Attachments

  • images-1.jpg
    images-1.jpg
    9.4 KB · Views: 17
  • images-2.jpg
    images-2.jpg
    10.1 KB · Views: 17
Waacheni vijana wasome wawe na wigo mpana wa ajira kuliko kutokusoma kabisa. Bora usome uje ukose ajira, utafanya mambo mengine then siku nafasi zikipatikana utapata tuu.

Kuwazuia vijana wasiende vyuo vikuu na vyuo vya kati kwa kigezo cha ukosefu wa ajira ni ufinyu wa akili. Hivi kijana aliyeko mtaani na hajakanyaga chuo ana wigo sawa wa ajira na aliyemaliza chuo?

Unforgetable
 
China converted about 600 universities to Polytechnic so as to reduce too much academic theory that doesn't guarantee jobs. They want their polytechnics to focus on Engineering and Technology and Technical courses.
In China, Vocational college graduates also had a slightly higher average starting salary compared to graduates from China's top 100
universities.
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.
Too much academic theory
 
Nakumbuka kuna mahali Tangazo la kazi lilikaa miezi zaidi ya 3 na walioomba hawakufika hata 10 ndani ya muda wote huo. Kwa hili nilijifunza kuwa hao wanafunzi pia wana maghorofa kichwani, yaani wanawaza kazi kubwa ilhali hawajui kitu zaid ya nadharia. Sasa kampuni kubwa ziko ngapi? Sisemi hakuna tatizo la ajira, ila hata wanotafuta ajira macho juu sana!
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.
Infact ajira zipo tena nyingi sana. Tatizo lipo kwenye aina na quality ya elimu inayotolewa! Wahitimu wengi wanaenda vyuoni kukariri na siyo kuelimika. La kufanya ni kufumua na kubadilisha kabisa mfumo wetu wa elimu!
 
Na tukiwa na idadi ndogo ya vyuo ikapelekea vijana wakakosa elimu na wakazagaa mitaani nao sio nzuri.
 
Kusoma ni lazima,lakini kuajiriwa sio lazima
Mie ni wale tunaoamini huwezi ukawa umeelimika ukakosa hata pesa ya vocha
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.
Kama una Elimu ya Level yoyote, Haijakusaidia Mkuu, na unaonekana umepitia Malezi duni Sana na ya kifukara wakati wa Makuzi yako. hayaland
 
Baada ya serikali kutoa ufadhili kwenye vyuo vikuu vya binafsi ndo shida yote hii ikaanza, watu wakajianzishia vyuo ili watafune hela. Serikali inalipiaje ada mwanafunzi anayesoma private university!? wamesababisha hata vijana wa wanyonge ambao ni vichwa kuanza kuhangaishwa na hayo mamikopo yao, sijui loan board na takataka nyigine kama hizo. Kijana kasoma state university, unakuja kumdai zaidi ya milioni 20, what a mess!?
 
hela ambazo bodi ya mikopo inazitoa kusomesha watu kozi za bla bla nyingi, ingepelekwa veta tu ikanunue mashine na iandae vijana wapate skills
 
Kumbe mleta mada haujui kwa nin ulipelekwa shule na ndio maana unasumbua hapo nyumbani kwenu.
 
Waacheni vijana wasome wawe na wigo mpana wa ajira kuliko kutokusoma kabisa. Bora usome uje ukose ajira, utafanya mambo mengine then siku nafasi zikipatikana utapata tuu.

Kuwazuia vijana wasiende chuo kikuu vyuo vya kati kwa kigezo cha ukosefu wa ajira ni ufinyu wa akili. Hivi kijana aliyeko mtaani na hajakanyaga chuo ana wigo sawa wa ajira na aliyemaliza chuo?

Unforgetable
Wewe unamaanisha mtu aende chuo apanue wigo wa ajira....?
Ajira hakuna serikalini labda ajiajiri akapambane na walioishia form four wakaanza biashara,ambao baadhi yao wanazo pesa na heshima mitaani.
 
Kumekuwepo na ongezeko kubwa la Vijana wasiokuwa na ajira mtaani,kila Kona unakuta kijana amebeba bahasha au kwenye internet cafe wakijitaidi kuomba kazi huku na kuleta. Naiomba serikali kupunguza idadi ya enrollment vyuoni kwani vyuo vinaendelea kutoa idadi kubwa ya wanafunzi na huku ajira ni kutendawili.Kuna lile swala la wanafunzi kujiajiri maandalizi ya ujasiliamali nayo hayajakaa vizuri vyuoni kuwawezesha wanavyuo kuwa wabunifu baada ya kumaliza masomo yao.Zikipatika nafasi 10 za uhasibu,maombi ni 400 na zaidi.Hali sio nzuri hata kidogo.
Sir i dont think reducing the number of higher learning schools like uni or so is the solution pls, the solution is found in 2 key places or areas, 1-let those institutes teach courses which are relevant today or can be used in todays market world, 2-let the gava offer attractive incentives and make investment climate conducive, which in turn will attract lots of FDIs here in tz mkuu, nadhani umenielewa mkuu
 
Back
Top Bottom