Hakuna ajuaye kwasababu upeo wetu unaishia ndani ya uhai wenyeweUmerudi hewani, unajua lakini visababishi vya uhai katika dunia yoyote ile?
Inawezekana ni micro organism wanaishi huko, maana kule chenobly kuba bacteria zimeota kwenye extreme radiation.Ikiwezekana kama hao viumbe wengine wapo basi waje watutafute na kututembelea.
Hakuna kitu kama hichi wala hakijawahi kuwepo hii ni ideal tu ambayo imekua established ili kuhide demons channels, na kuinvert na kuwaita eliens lakin kiuhalisia hakuna eliens kwasababu wao wanadai awareness ya eliens ni beyond normal thinking ya binadam imekuaje tukaco-oparate na eliens hata 1/2 ya thinking capability yao hatujafkiaHatuna uwezo huo kwa sasa.
Ila huenda kuna aliens
Hio ni dhana tu mshamba_hachekwi unafahamu dunia imepitia shuruba ngapi za kuiangamiza ila bado imesimama?Ulimwengu una mabilioni ya miaka, na unatanuka bila mwisho. Kadri unavyotanuka, kuna sehemu zinakosa nishati ya nyota.
Ulimwengu ni mkubwa sana. Sehemu tuliyoweza kuiona(observable universe) ni kakipande kadogo.
Inawezekana miaka mingi kabla dunia haijawa, ziliwepo sayari nyingine zenye maisha ila kwa sasa zina giza tupu. Inawezekana hili likatokea kwenye sayari yetu pia huko mbele.
Inawezekana kuna sehemu za ulimwengu ambazo hatujaziona zinahifadhi uhai. Ukubwa wa ulimwengu unaleta utata.
Kwa kuwa ulimwengu ni mkubwa sana, inawezekana hizo "perfect conditions" zilikuwepo, zipo ama zitakuwepo sehemu nyingine.Hio ni dhana tu mshamba_hachekwi unafahamu dunia imepitia shuruba ngapi za kuiangamiza ila bado imesimama?
Unafahamu ili uhai uwepo basi ni kuwepo kwa perfect conditions ikiwemo gravity?
Haya sijakuelewa point yakoHakuna kitu kama hichi wala hakijawahi kuwepo hii ni ideal tu ambayo imekua established ili kuhide demons channels, na kuinvert na kuwaita eliens lakin kiuhalisia hakuna eliens kwasababu wao wanadai awareness ya eliens ni beyond normal thinking ya binadam imekuaje tukaco-oparate na eliens hata 1/2 ya thinking capability yao hatujafkia
Haya mambo ya kufa yaacheni,maana hakuna aliyewahi kwenda na akarudi.Nani aliye kudanganya?
Ukifa, imekufa... Unageukakuwa mbolea.. Yaani hakuna tofauti na mbolea