Nilishashindwa mimi ,pilau ni mikachumbari tupu siwezi.Kavu kavu huwezi kabisa?
Sijawahi kujaribu pishi la pilau na nazi, weekend hii nitapika kwa kutumia hii recipe yako 😍Hi guys,. Habari za siku nyingi
Bila kupoteza mda tupike pamoja pilau nazi
Kwenye sufuria yako ya kupikia utaweka mafuta, yakipata moto utaweka vitunguu na ( hoho ni optional)View attachment 3583627
Utakaanga kwa muda utaweka kitunguu saumu na tangawizi utaendelea kukaanga kwa mda kidogoView attachment 3583628
Utakaanga kwa mda tena kidogo utaweka pilau masala kijiko kimoja na garam masala nusu kijikoView attachment 3583629
Utakaanga tena kidogo utaweka nyama yako ambayo imeshachemshwaView attachment 3583631
Utakaanga kidogo then utaweka viazi na nyanya kidogo,. (Hadi hapa harufu iliwafanya waliochelewa kunywa chai waache watunze njaa kwajili ya pilau😹 )View attachment 3583632
Utakaanga tena hadi nyanya zilainike kidogo,. Utaweka chumvi halafu utaweka mchele ( mie nimetumia basmati) ila wakawaida ingekua poa sana😍View attachment 3583639
Utakaanga kwa mda kidogo ili viungo vishikane vizuri,. Then utaweka supu ya nyama utaweka na tui la nazi vikombe viwili au vitatu,. View attachment 3583640
Utakoroga taratibu taratibu then Utafunika utapunguza moto uache upikike kwa moto mdogo mdogo kwa dakika 25 au hadi nusu saa.
Then utafunua ugeuze na pilau yetu itakua tayari kama hiviView attachment 3583642
Utatengeneza na kachumbari kidogo,. ( mie niliweka carrot 🥕 hoho kitunguu nyanya na ndimu ) View attachment 3583643
Tukala tukashushia na mirinda nyeusi ya baridi ( pepsi ziliisha )View attachment 3583644
Hope you enjoyed 😋😍😘
Hata hivyo bado hamjanitendea haki mie mpenzi mtazamaji.Tuliongeza,. Ya kwanza iliisha ya pili ndio Ikatushinda kumaliza😃😃
Lee kama wewe ulikua unapika ulipata wapi muda wa kupiga pichabhatua kwa hatua, kweli au ni hao wenzako ndo walikua wanapikaSawa watasikia
MaaamaaeeHi guys,. Habari za siku nyingi