Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #81
Likifubaa kasheshePenzi Bado bichi acha a enjoy enjoy 😁
Likifubaa kasheshePenzi Bado bichi acha a enjoy enjoy 😁
Ndiyo my nipo tayari.Usijali,upo tayari nikufundishe kupika vingine
😂😂😂 soon ata kutumiaUtupie picha selfika nimehamasika kuona aiseee
Ok utaenjoy iyo sikuNdiyo my nipo tayari.
Mno mkuu nitafurahi sana😂😂😂 soon ata kutumia
Sina mpizani mpaka sasa? 😂Sotojo, Koronya Laini
Eneo Hili Umelishika Sana
Na lazima upende kitu unacho fanya ili kiwe kizuriUpishi ni sanaa kubwa na pana sana.Siyo akina sisi kazi yetu kusifu tu.Mimi ukinilazimisha kupika,nakupikia supu ya kabeji na juisi ya bamia.Kwisha habari!
Utakula ulale na viatuDah ww jamaa unapika kinoma, alafu sikumbuki Mara ya mwisho lini nimekula pilau ,,,,, 😃
Nimependa nyama ni nyingi
Hapo ukate kachumbari uweke kapilipili ukipata mda uiweke kwenye fridge kama nusu saa ,,,, oya !
Hana bayaMno mkuu nitafurahi sana
Najilindia m'binuko wangu asichukuliwe .,..au nimekosea kaka dosho12 😂😂😂Majini tena 😂😂😂🙌
🤩🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤩Ok utaenjoy iyo siku
Mimi nina wangu bhna nipoa ana kula pilau now financial servicesNajilindia m'binuko wangu asichukuliwe .,..au nimekosea kaka dosho12 😂😂😂
Upo sawa kabisa 😆😆 kama Kijana Masikini anavyomlinda shemeji yetu 😁😁Najilindia m'binuko wangu asichukuliwe .,..au nimekosea kaka dosho12 😂😂😂
Demu wangu penda penda kaka unadhani hata nikiwafumania najua kabisa yeye ndio ametaka show.,..namjua ila navumilia tu 😁😂😂Mimi nina wangu bhna nipoa ana kula pilau now financial services
Upo sawa kabisa 😆😆 kama Kijana Masikini anavyomlinda shemeji yetu 😁😁
Chica Gee upo wapi unapitwa huku
Kumbe nimeibiwa Chica Gee na hamsemiUpo sawa kabisa 😆😆 kama Kijana Masikini anavyomlinda shemeji yetu 😁😁
Chica Gee upo wapi unapitwa huku
Ahahha utabid ukaze fuvu ivyo ivyo kibishDemu wangu penda penda kaka unadhani hata nikiwafumania najua kabisa yeye ndio ametaka show.,..namjua ila navumilia tu 😁😂😂
mambo!Mwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull