Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #221
Kalishwa vitamuKijana Masikini Toka mpate Mary D katusahau ndugu zake 😅😅
Kalishwa vitamuKijana Masikini Toka mpate Mary D katusahau ndugu zake 😅😅
Nashangaa ujue au anafanya michakato ya kuja kuchukua kiti Cha chama kwa nguvu zote 😂😂😂Kijana Masikini Toka mpate Mary D katusahau ndugu zake 😅😅
Itakuwa 😄😄Nashangaa ujue au anafanya michakato ya kuja kuchukua kiti Cha chama kwa nguvu zote 😂😂😂
ThanksHongera sana.
Nipo, nipo mkuu. mambo kuwaje ndugu yangu?Kijana Masikini upo man
Mkuu acha tu Marry ananifanya niwe nje ya ulimwengu kiroho japo kiwiliwili kipo huku duniani.Kijana Masikini Toka mpate Mary D katusahau ndugu zake 😅😅
Fresh kiongozi hatukuoni mpaka tumekuja kukutafuta kwenye Uzi wa pilau Nazi 😂😂😂Nipo, nipo mkuu. mambo kuwaje ndugu yangu?
😂😂😂 ukiachana na simulizi sina cha maana cha kuchangia jf zaidi ya utumbo hivyo kuna muda huwa natulia kidogo kuupa muda ubongo upate pumba mpya.Fresh kiongozi hatukuoni mpaka tumekuja kukutafuta kwenye Uzi wa pilau Nazi 😂😂😂
Nakuelewa kaka me mwenyew sikuhizi natafuta simulizi za watu wa JF nisome maisha yao walivyoteswa na Dunia na kugaagaa na upwa nipate funzo 😂😂😂😂😂😂 ukiachana na simulizi sina cha maana cha kuchangia jf zaidi ya utumbo hivyo kuna muda huwa natulia kidogo kuupa muda ubongo upate pumba mpya.
😂😂😂 mimi niko bize kusoma mapishi ya bites/snacks kuna mchongo nauskilizia ukitiki nahamishia majeshi huko.Nakuelewa kaka me mwenyew sikuhizi natafuta simulizi za watu wa JF nisome maisha yao walivyoteswa na Dunia na kugaagaa na upwa nipate funzo 😂😂😂
Ila JF ukiichimba vizuri Kuna madini mengi sana yamefukiwa kwenye hii forum😂😂😂 mimi niko bize kusoma mapishi ya bites/snacks kuna mchongo nauskilizia ukitiki nahamishia majeshi huko.
Saana, uzuri wa hapa unakutana na mtu ambae amewahi kupata changamoto kwenye jambo unalotaka kulijua halafu wadau wanatiririka utatuzi, hii yenyewe tu inaweza kukufanya utamani kulipia elimu unayoipata hapa.Ila JF ukiichimba vizuri Kuna madini mengi sana yamefukiwa kwenye hii forum
Kweli kaka Kuna wengine bila JF wasingejua pilau la Nazi ujue 😂😂😂Saana, uzuri wa hapa unakutana na mtu ambae amewahi kupata changamoto kwenye jambo unalotaka kulijua halafu wadau wanatiririka utatuzi, hii yenyewe tu inaweza kukufanya utamani kulipia elimu unayoipata hapa.
Kabisa mkuu.Kweli kaka Kuna wengine bila JF wasingejua pilau la Nazi ujue 😂😂😂