😂😂😂Natamani nimpe hizi mbinu ila kile chuma kibishi sanachukua recipe ukamfundishe Aisha m'binuko 😅😅
😂😂😂Natamani nimpe hizi mbinu ila kile chuma kibishi sanachukua recipe ukamfundishe Aisha m'binuko 😅😅
Yaah kwa namna namwana alivyonielewa nahisi ataanza kunipima uzito muda wa kutoka na wakurejea nyumbani.Nakuja na dosho12 ila usimuekee nyama ana allergy nazo
Kijana Masikini hata tukija naye usimpe pilau atakula kwa kina marry 😂😂😂
Dah hiyo allergy ya nyama niliipata lini tena au unataka kula nyama zote peke yako ndugu yangu 😆😆Nakuja na dosho12 ila usimuekee nyama ana allergy nazo
Kijana Masikini hata tukija naye usimpe pilau atakula kwa kina marry 😂😂😂
Ukifurahi na mie nafurahi 😅😅Ila wewe mdada unanichekeshaga sana😅😅😅
Kwahiyo mkuu Aisha mbinuko ndio huyo shemeji yetu?😂😂😂Natamani nimpe hizi mbinu ila kile chuma kibishi sana
Nakubali , hakika shemeji ajipange sanaMwakata! Ughonile! Twambombo
Leo nilikuwa na hamu ya pilau so nikasema nitafute nazi ili nipike pilau la nazi
Kuanza nikaanza kukaanga nyama na mafuta kidogo tu uku nikiwa nime changanya na kitunguu swahumu
View attachment 3399622
Baada ya hapo nika chukua pilau masala na birian masala nika zichanganya pamoja ili viuongo viive vzr
View attachment 3399623
Baada ya hapo nika chukua hoho na karoti nika weka kisha nika weka nyanya
View attachment 3399625
Baada ya muda nika weka mchele uchanganyike vzr
View attachment 3399628
Hapa nikawa naji semesha sufuria dogo ila nikawa nakaza fuvu uku naendelea kuchanganya mchele na viungo
Baada ya hapo nikachukua tui ambalo lina uvugu vugu halija chemka lina uvugu vugu na ni tui la pili nika weka
Baada ya kuweka tui ndio nikaona ni vyema kuchange sufuria nikafanya. Ivyo na kuacha maji yakakamie kidogo kisha nika chukua tui lile la kwanza na kuli tia ilia mambo yawe bam bam
View attachment 3399634
Baada ya muda chakula kimeiva kipo vizuri kama nilitamani kitoke
View attachment 3399637
Nipo tayari kutukanwa na wan jf kama kawaida
min -me kitalembwa mbwangali Evelyn Salt @Hamfull
Kaka etu Kijana Masikini ameshachukua Jimbo kwahiyo amepoa siunajua mawife material wa bongo 😂😂😂😂😂 af mary simsikii now yupo wapi
Ladha sio radha 😁😂😂😂 siku ya kwanza ulionaje radha
We tulia kwanza utanikosesha pisi za JF 😂😂😂Kwahiyo mkuu Aisha mbinuko ndio huyo shemeji yetu?
😂😂😂Mbinu za kivita hizoDah hiyo allergy ya nyama niliipata lini tena au unataka kula nyama zote peke yako ndugu yangu 😆😆
Penzi liharibike kisa pilau la Nazi kwanini ety kwanini 😂😂😂Yaah kwa namna namwana alivyonielewa nahisi ataanza kunipima uzito muda wa kutoka na wakurejea nyumbani.
Sawa ilooChochote kinacholika natumia
Karibu sanaHii pilau imenivutia sana
Ata sema una mkosoa😂😂😂Natamani nimpe hizi mbinu ila kile chuma kibishi sana
Aende chuo kabisaNakubali , hakika shemeji ajipange sana
Ahahah mwambie amwachieKaka etu Kijana Masikini ameshachukua Jimbo kwahiyo amepoa siunajua mawife material wa bongo 😂😂😂
Ahahah ushazoeaLadha sio radha 😁
Nazi nzuri iko poa sana, ukute imekolea kwenye wali mashaallah.....
Ila karanga ni kiboko 😁
Kati ya vitu navipenda,naviweza kupika ni hivi,namaanisha kupika si kuchemsha🤩