Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #121
Unga wa pilauNipe uzoefu wako
Kitunguu maji
Kitunguu swahumu
Viazi
Nyama
Hoho
Karoti
Mchele
Unga wa pilauNipe uzoefu wako
Nimekataliwa wazi wazi dah 😔😁😁😁 kumbe nilikuwa wako na sijui?
Uje hapa sio ujichimbie moja kwa moja huko! Vijana tunataka kujichukulia majimbo yetu hii 20 25.😁😁😁, nitarudi kuwajibu na Dosho
Urudi na jibu zuri basi tutakulinda na maex wako wote wa JF 😂😂😂😁😁😁, nitarudi kuwajibu na Dosho
Mary una muacha na nan?Uje hapa sio ujichimbie moja kwa moja huko! Vijana tunataka kujichukulia majimbo yetu hii 20 25.
Unga wa pilau vs pilau masala ni tofauti?Unga wa pilau
Kitunguu maji
Kitunguu swahumu
Viazi
Nyama
Hoho
Karoti
Mchele
Hauna tofauti ni matamshiUnga wa pilau vs pilau masala ni tofauti?
Mbona imekuwa ghafla jamani 🤔?Nimekataliwa wazi wazi dah 😔
Asante sana wakubwa mwaka mpya nitatoa mualikoMwachi unajuaa
Huyu tunampambinia dosho12Mary una muacha na nan?
Mje mnivute na kamba sirudi 😆😆Uje hapa sio ujichimbie moja kwa moja huko! Vijana tunataka kujichukulia majimbo yetu hii 20 25.
Maex tena 😆😆?Urudi na jibu zuri basi tutakulinda na maex wako wote wa JF 😂😂😂
Nishakuwa kindege posta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi nakupenda nili mwambia Harmful akuletee hizi habari akukuambia
Ahahha teyar karibu tuleeeKiweke mezani basi au tunakula kwenye sufuria kama tupo llemshuku?
Ndio kwanini hukufisha salamuNishakuwa kindege posta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Si hao wanaodhani upo nao kwenye mahusiano kumbe we ni shemu wetu sisi tushakuwahi 😂😂😂Maex tena 😆😆?