Tupike pasaka pamoja live

Tupike pasaka pamoja live

Wajuba huwa sitanii, ngojeeni nifikirie ubunifu wa mapishi fulani mtanipa tips. Mjue mapishi ni sanaa.
 
Kumekucha, hayo mapishi live mbona hatuyaoni?
1745214388043.jpeg
 
UMEME wamechukua kabisa ila nimeanza kupika wali tayari ila bado rost yenyewe

Kwanza unauloweka kwa muda kisha una uchemsha baada ya kuuvia usiive sana unaipua na kuchujua maji kisha unaanza upika sasa kisha unaweka rangi yako ya chakula na kupunguza moto kisha unauacha muda mrefu jikoni
 

Attachments

  • 20250421_112545.mp4
    14.5 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom