Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Tuma elf 12 nkuletee kilo mbili 😁Wapi uko mm nimenunua kilo 10k shoperz ulinishinda 37k nikaacha
Tuma elf 12 nkuletee kilo mbili 😁Wapi uko mm nimenunua kilo 10k shoperz ulinishinda 37k nikaacha
Ww toa location kama ni dar itakuwa poa sana itasaidia kupigwa kumbe kuna sehemu bei simpleTuma elf 12 nkuletee kilo mbili 😁
Na ya kutolea sioTuma elf 12 nkuletee kilo mbili 😁
Ya kutolea na ya boda 😁Na ya kutolea sio
Duh boda sio bure 😂Ya kutolea na ya boda 😁
huwa tunajifunza wenyewe kwanza, ukiona umepatia ndio wengine watakula. Ni zoezi la kujipilikisha unakula mwenyewe kwanzaSili chakula Cha mwanaume ndo anaanza kujifunza kupika looh nitahiribu tumbo
Dania ndio nini?
Umeniita nije kupika
Nilitaka nikutag mwalimuNani kaona Bilian?
Ukienda sokoni ukiulizia utaipataDania ndio nini?
Nenda sokoni vinapatikana mbona 😂Mwachiluwi hayo mahitaji kwakweli kesho ntakuwa mpenzi mtazamani. Dania?? hata sivijui, mtindi?? Food colour sijawahi kumiliki aisee ntawasaidia kuandaa maji ya kunawa
Wala hawajawinda et walikosa wanyama walikimbia 😵💫Mwachiluwi ..Niambie kwanza nyama Gani .😂😂😂 Nimesikia swala ni wengi
ungefanya kesho kutwa ingependeza zaidi gentleman,Hello
Kesho nafikiri tupike pamoja JF hapa hatua kwa hatu ratiba yetu itakuwa hivi
Morng
Saa moja na nusu tutaanda chai ambapo kutakuwa na bagia za dengu na maziwa
Mahitaji ya bagia
1) unga wa dengu
2) chapa maandazi / barking powder
3) dania
4) karoti
5) chumvi
Baada ya hapo mchana tutaanda bilian ambapo mahitaji yake yatakuwa kama yafwatavyo
1: Mchele wa basmat mimi nitatumia 1kg
2: bilian masala
3: Pilau mix
4: dania
5: Tomato paste
6: mtindi
7: hoho na karoti
9: nyama inategemeana na nyama ulio nayo
10: food color inategemeana na rangi unayo taka mimi nitatumia nyekundu na orange
11: limao
12: kitunguu maji cha kutosha
13: viazi au mayai inategemeana na mapendeleo yako unaweza usiweke
Am manungefanya kesho kutwa ingependeza zaidi my lady,
kesho usbuhi na mapema sana si kuna kiporo cha wali, maharage na miguu ya kuku tutamuachia nani tena kama tutapika bagia?🐒
sorry gentleman 💪👊Am man