Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #101
Dah wali mwekundu, basi hili pishi hata siwezi kujaribu kujifunza
Nikajua ni kitu flani kumbe majani hee
SawaUnaweka barkin mapema so inafanya kunyonya mafut
Asante sanaKaribu tuleee
Viungo vizima vizima ndo vikoje tena?Asante sana
Nimepika pilau la viungo vizima vizima nilikuwa sijawah jaribu
Sikusaga viungo nikapika km vilivyoViungo vizima vizima ndo vikoje tena?
Kumbe waweza kufanya hivyo sasa si utakuwa unavitafuna wakati wa Kula au likiiva unaanza kuvitoa?Sikusaga viungo nikapika km vilivyo
Yan mdalasin,binzary nyembanba,na vingine View attachment 3311411
Peke yake ngoja tuanze kusikia kelele zake kwa kishindo wengine ni sgt tuKwahiyo sasa hivi anavaa kiunoni na mkononi? 🤣🤣🤣 Amepanda na nani ?
George bado? Sgt nani?Peke yake ngoja tuanze kusikia kelele zake kwa kishindo wengine ni sgt tu
Ndio badoGeorge bado? Sgt nani?