Wanaouza biliani wanapataga faida sana maana unakuta sahani mpaka 15kKabisa nusu kilo watu sita mnakula na unabaki
Achana nao.....Tukisema hapa wanatuita mashoga tunao jipikia 😂
KwliTunabidi tupike na sio kujipikirisha.
Hongera sana mkuu, tuonyeshe kapicha basi tutoe marks 😀Mi ni baba leo getoni niliamua kupika pilau hatua kwa hatua baada ya kuuliza swali humu namna ya kupika pilau, uzi upo. Nimefanikiwa kupika pilau safi na tamu, kumbe naweza kupika mpiko huo. Nashukuru wadau wote walionielekeza kupika mpiko huo. Picha zitakuja awamu nyingine ya mpiko
Uje na ndizi nimesahau 😂Namie ntakuja......
Wajinga2 hao kupika kawaida sana kwa manTukisema hapa wanatuita mashoga tunao jipikia 😂
Sure 😂Achana nao.....
Mwanaume kupika is sexy
Sawa inapendezqSili chakula Cha mwanaume ndo anaanza kujifunza kupika looh nitahiribu tumbo
Wengi hawajui ilo wana ule uzamaniWajinga2 hao kupika kawaida sana kwa man
Ndizi na pilipiliUje na ndizi nimesahau 😂
Kesho tukiivisha chakula Mimi nitakata kachumbali usisahau kunitag Insh ALLAHKwli
Umejuaje dompo ipo ya kutoshaNdizi na pilipili
Kabisa siwezi sahau kukutagKesho tukiivisha chakula Mimi nitakata kachumbali usisahau kunitag Insh ALLAH
Tarehe haziruhusu kunywa dompo, ntakuja na smart Gin 😂😂😂Umejuaje dompo ipo ya kutosha
😂😂😂 acha basi tutaleaTarehe haziruhusu kunywa dompo, ntakuja na smart Gin 😂😂😂
Mmh huko ushuani nini, huku kwetu kilo ni 6000Maana basmati kilo moja 10k
Wapi uko mm nimenunua kilo 10k shoperz ulinishinda 37k nikaachaMmh huko ushuani nini, huku kwetu kilo ni 6000
Tukisema hapa wanatuita mashoga tunao jipikia