meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
wana jamvi wasalaam! leo nimeona nitoe dukudukulangu juu ya matumizi ya title Dr,nadhani tumeshuhudia watu wengi wakitumia jina hili bila kuwa na sifa stahili.mfano Dr Manyaunyau,Dr Ndodi,Dr mandakindaki n.k.i think ni wakati muafaka wa kuweka sheria inayokataza matumizi ya title hii hovyohovyo.thamani yake imeshuka sana jamani.
nawasilisha:

Dk Slaa jee, udokata bila hata ya kuwa na Bachelors wala masters na kasoma Diploma baada ya Udokta. Huyu hafai kabisa kuitwa Dokta.
Hana, aitowe wapi?yaani wasema Dr slaa hana PhD?
Hana, aitowe wapi?
vidokta kama kikwete................kuna watu walistaili kuitwa dokta kama nyerere lakini hakuwa mpenda makuu na misifa kama alivyo kikwete......
dk. Jk, professer jay...
Mhh, yetu macho na masikio ila ninalofahamu ni kwamba ma dr.dk wa kweli wanafahamika wala tusipoteze muda kujadili. Ila ikumbukwe kwamba hii ni kada ya juu sana ki elimu hivyo kukubali kuwaita watu kwa sifa za elimu zisizo zao kukatisha tamaa watu walio pasha kwa nguvu sana kuupata u dk. kihalali.
Ni vyema kama nchi tukaliona hili ili turejeshe pamoja na mambo mengine heshima na thamani ya elimu kwani naona huu u dokta wa heshima unatumika vibaya.
Unataka kuwa dokta soma bana achana na udk wa heshima. We ni dokta wa heshima wapo kweli wanaokuhemu? Na kwa lipi ulilo fanya mpaka ukastahili heshima hiyo?
Tuache ubabaishaji jamani tunaendelea kuiangamiza nchi kwa kila kitu sababu ya kuchukulia mambo kirahisi na kwa ubinafsi.
dr.remmy ongala?
hiki ni kibri ,ww ni wakupuuzwa